Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Machifu mbali
mbali kutoka sehemu tofauti tofauti hapa nchini,wakati akiwasili kwenye Sherehe
za Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mtemi Isike Mwanakiyungi wa Kabila la Unyamwezi
aliefariki Miaka 124 iliyopita.Sherehe hizo zimefanyika leo kwenye Kijiji cha
Itetemya,Mkoani Tabora.Kushoto ni Chifu Mkuu wa Unyanyembe,Chifu Msagata
Fundikira
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akifurahia jambo na Mjukuu kutoka
katika Ukoo wa Fundikira.Kushoto ni Chifu Mkuu wa Unyanyembe,Chifu Msagata
Fundikira.
Waziri Mkuu Mstaafu na
Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiangalia Ngoma za Asili ya Kabila la wanyamwezi
No comments:
Post a Comment