Pages

June 25, 2013

MOJA YA KIVUTIO KIKUBWA KABLA YA KUINGIA HIFADHI YA NGORONGORO(NCAA) NI NYANI WANOWALAKI WAGENI KWENYE LANGO KUU

 Nyani ambao ni  maarufu sana katika lango Kuu la  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)mkoa wa Arusha,hifadhi hiyo ni kati ya hifadhi tatu hapa Tanzania zilizoshinda katika maajabu saba(7)ya Afrika mwaka huu.

Wanyama aina ya Nyani ambao ni  maarufu sana katika lango Kuu la  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)mkoa wa Arusha,hifadhi hiyo ni kati ya hifadhi tatu hapa Tanzania zilizoshinda katika maajabu saba(7)ya Afrika mwaka huu 

Mtalii akiwapiga picha  Nyani ambao ni  maarufu sana katika lango Kuu la  Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)mkoa wa Arusha,hifadhi hiyo ni kati ya hifadhi tatu hapa Tanzania zilizoshinda katika maajabu saba(7)ya Afrika mwaka huu.

Wanyama aina ya Nyani ambao ni  maarufu sana katika lango Kuu la Lodware kwenye Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)mkoa wa Arusha wakioneshana upendo kwa kutoana chawa 

Kwa raha zote anatolewa chawa 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...