Pages

June 25, 2013

SIJAMUOMBA RADHI WAZIRI MKUU KWA KUMUITA "MPUMBAVU" SUGU.


MHESUGU-2Juzi, mbunge  wa  mbeya  mjini  alitoa  tusi  zito  kwa  waziri  mkuu  wa  Tanzania  na  kudai  kuwa  Tanzania  haijawahi  kuwa  na  waziri  mkuu  mpumbuvu  kama  yeye..Kupitia  account  yake  ya facebook, Sugu, ambaye  ni  mbunge  wa  Mbeya Mjini amezidi  kusisitiza  kuwa  hawezi  kuomba  msamaha wala  kuifuta  kauli  yake... 

H'..."
HAPA SIKILIZA VURUGU ZA SUGU NA WIMBO WAKE WA SUGU MOTO CHINI KATIKA VIDEO.
chanzo.www.jumamtanda.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...