Pages

October 19, 2017

TPF NET ARUSHA YATAKIWA KUTOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo ambaye pia ni mlezi wa TPF NET mkoa wa Arusha akikabidhi Mbuzi wawili pamoja na zawadi mbalimbali zenye thamani ya Shilingi 780,000 na fedha taslimu Shilingi 160,000/= kwa watoto yatima wa kituo cha Christ Hope Orphonage kilichopo jijini hapa.

Askari wapatao 80 toka wilaya mbalimbali za mkoa wa Arusha ambao ni wanachama wakitembea kwa maandamano umbali wa kilomita 7 huku wakiongozwa na Brass Band ya Polisi

Wanachama wa Mtandao wa Polisi Wanawake Arusha pamoja na watoto yatima wa kituo cha Christ Hope Orphonage wakionekana kusikiliza kwa umakini hotuba iliyokuwa inatolewa na mlezi wa Mtandao huo Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Naibu Kamishna (DCP) Charles Mkumbo


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...