![]() |
|
Rais wa
Misri Abdel Fattah Al Sisi akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
|
Rais wa
Misri Abdel Fattah Al Sisi akikagua gwaride la Heshima mara baada ya nyimbo za
Taifa kupigwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA)
jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
| Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi akiangalia vikundi vya ngoma za asili mara baada ya kuwasili nchini. |







إرسال تعليق