![]() |
| Mkurugenzi wa Rasilimali watu w Shirika la Maji safi na Maji taka Dar es Salaam,DAWASCO,Bi,Joy Chidosa akifanya utamburisho katika kikao hicho. |
![]() |
| Baadhi ya Mameneja wa vitengo mbalimbali katika Shirika la Maji safi na Maji taka jijini Dar es Salaam DAWASCO ,wakiwa katika kikao hicho. |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wa Dawasco wakionekana wenye nyuso za furaha wakati wa kikao hicho. |
![]() |
| Afisa Mtendaji mkuu wa DAWASCO,Mhandisi Cyprian Luhemeja akifurahia jambo na katibu mkuu wa wizara ya maji na umwagiliai Mhandisi ,Mbogo Mfutakamba. |
![]() |
| Afisa Mtendaji mkuu wa DAWASCO,Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza wakati wa kikao cha wafanyakazi kilicho fanyika makao makuu ya ofisi za Dawasco. |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wa DAWASCO. |
![]() |
| Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagliaji,Mhandisi Mbogo Mfutakamba akizungumza na wafanyakazi wa DAWASCO wakati wa kikao kilichofanyika makao makuu ya shirika hilo . |
![]() |
| Mwakilishi wa wafanyakazi wa DAWASCO,Abdalah Jongo akiongea kwa niaba yao wakati wa kikao hicho. |

















إرسال تعليق