Papa Francis akiongoza misa ya mkesha wa Christmas ambayo wakristu wote Dunia husherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristu, Misa iliyofanyika Desemba 24, 2015 katika kanisa la Mtakatifu Peter mjini Vatican nchini Italia.

Papa Francis akiongoza misa ya mkesha wa Christmas katika kanisa la mtakatifu Peter mjini Vatican nchini Italia.

Papa Francis akiwa na chetezo alipokua akiongoza misa ya mkesha wa Christmas Desemba 24, 2015 mjini Vatican nchini Italia.

Waumini wa Kikiristu wakifuatilia misa ya mkesha wa Christmas iliyofanyika Desemba 24, 2015 katika kanisa la Mt. Peter mjini Vatican nchini Italia.

Watoto waliohudhuria misa hiyo wakifuatilia mkesha wa Christmas misa iliyoongozwa na Papa Francis mjini Vatican nchini Italia Desemba 24, 2015. Picha kwa hisani ya Zimbio


إرسال تعليق