Mkurugenzi
wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dr. Helen Kijo Bisimba
amepata ajali ya gari leo asubuhi katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi
jijini Dar es salaam.
Gari hilo
lilikuwa likiendeshwa na dereva wake ambaye naye inasemekana
amejeruhiwa. Hivi sasa Mkurugenzi huyo wa LHRC anapatiwa matibabu katika
hospitali ya Agha Khan jijini Dar es Salaa.Taarifa zaidi kuwajia
Muonekano wa gari lake baada ya kupata ajali. Source: Rweyunga Blog
No comments:
Post a Comment