Pages

November 17, 2015

JOB NDUGAI NDIO SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA APITA KWA ASILIMI 70%

Wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma wamemchagua  mheshimiwa  Job Yustino Ndugai kuwa spika wa bunge la Jamhuri wa muungano wa Tanzania.

Katibu wa Bunge Mh Dkt Thomasi Kashilila Amemtangaza Mh Job ndugai  kuwa Spika wa Bunge la 11 baada ya Kujinyakulia Kura 254 sawa na 70% ya Kura zote zilizopigwa.
Mh Ndugai amewashinda Wagombea wengine kutoka vyama na makundi     Mbalimbali

Kura zilizopigwa-365
Kura zilizoharibika-2
Malisa-0
Medeye-109
Rungwe-0
Almasi-0
Ndugai-254
Sarungi-0
Lymo-0
Kasimiu-0

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...