
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa mgodi mara
baada ya kuwasili eneo la mgodi wa urani katika mradi wa mto mkuju
wilaya ya namtumbo mkoa wa Ruvuma .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua mgodi wa urani mkoani Ruvuma

إرسال تعليق