MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TANZANIA WAFANYIKA, MAGUFULI, LOWASSA WASHINDWA KUHUDHURIA

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Nghwira (kulia), na Mgombea nafasi hiyo kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Chifu Litayosa Yemba wakijibu maswali mbalimbali katika mdahalo wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza Dar es Salaam . Hata hivyo wagembea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli na Edward Lowassa kupitia Chadema hawakuweza kuhudhuria kwa sababu mbalimbali.
 Waongozaji wa mdahalo huo wakiwa kazini. 
 Wadau wakiwa kwenye mdahalo huo.
 Raia wa kigeni na wadau wengine wakifuatilia mdahalo huo.
 Mdahalo ukiendelea.
Vijana wakiwa kwenye mdahalo huo.

Post a Comment

أحدث أقدم