LOWASSA AFUNIKA KYELA MKOANI MBEYA



  Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi wa Kyela Mkoani Mbeya katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika jumatatu  tarehe 19/10/2015 

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa wananchi wa Kyela Mkoa wa Mbeya katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika jumatatu  tarehe 19/10/2015 
Umati mkubwa ukimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa alipokuwa anazungumza na wananchi wa Kyela
 
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwasili katika mkutano huo

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia mkutano wa kampeni huko Tunduma mkoani Mbeya  Oktoba 19, 2015. 
Kampeni za UKAWA, zitasimama kwa muda Oktoba 20, ili kutoa fursa kwa viongozi kushiriki ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa UKAWA, marehemu Dkt. Emmanuel Makaidi, itakayofuatiwa na mzishi yake yatakayofanyika Sinza jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Fidelis Felix na Othman Michuzi)
Mh. Lowassa akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Tunduma, Frank Mwakajoka(kulia) katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma katika mjini wa Tunduma mkoani Mbeya  Oktoba 19, 2015.
Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mgombea urai wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma katika mjini wa Tunduma mkoani Mbeya
Mh Lowassa akihutubia Kyela
Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akiwasili kwenye mkutano wa kampeni huko wilayani Kyela  Oktoba 19, 2015

Post a Comment

Previous Post Next Post