Shirika
la Maendeleo Tarime SHIMATA chini ya ufadhiri wa Taasisi ya TWAWEZA
kupitia mradi wake wa UWEZO ambao umelenga kufanya kazi ya kutathimini
hali ya kielimu katika nchi za Tanzania, Kenya na Uganda linatarajia
kufanya tathimini kwa watoto (Wanafunzi na wasio wanafunzi) walio na
umri kati ya miaka saba hadi 16 katika Wilaya ya Tarime Mkoani Mara kwa
lengo la kubaini hali ya kielimu na changamoto zake ilivyo wilayani
humo.
Na Binagi Media Group
Ili
kufanikisha zoezi hilo, SHIMATA imetoa semina kwa wahojaji watakaofanya
tathimini hiyo ambayo pia itawafikia wenyeviti wa Mitaa na Vijiji pamoja
na Wanakaya pamoja na kupima kiwango cha madini joto katika kaya hizo.
Akifunga
semina hiyo iliyoanza juzi Septemba 22,2015 na kutamatika jana Septemba
23,2015 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, Kaimu Katibu
Tawala Wilaya ya Tarime John Marwa ambae alimwakilisha Mkuu wa Wilaya
hiyo aliwataka washiriki wa semina hiyo (wahojaji) kuhakikisha wanafanya
tathimini hiyo kwa ukweli na uwazi ili kupata majibu sahihi ya kiwango
cha elimu katika Wilaya hiyo.
Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Tarime John Marwa
Mwenyekiti wa SHIMATA Joseph Magabe akizungumza katika semina hiyo
Baada ya semina, mgeni rasmi alikabidhi vyeti vya ushiriki kwa wanasemina.
Baada ya semina, mgeni rasmi alikabidhi vyeti vya ushiriki kwa wanasemina

Mratibu wa Twaweza Wilayani Tarime akipokea Cheti cha utambuzi kutoka TWAWEZA
Mwenyekiti wa SHIMATA akipokea cheti cha utambuzi kutoka TWAWEZA
Picha ya pamoja kati ya washiriki wa semina na mgeni rasmi
Picha ya pamoja kati ya washiriki wa semina na mgeni rasmi
Viongozi na Wajumbe wa SHIMATA
No comments:
Post a Comment