Pages

August 17, 2015

MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA SASA AMTISHA MGOMBEA MWENZAKE WA CCM DKT JOHN MAGUFULI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU JIJINI MWANZA.


  

Mgombea urais kupitia Ukawa Edward Lowassa amekusanya umati wa watu mkoani Mwanza leo wakati wa kuomba wadhamini nafasi hiyo ikiwa sehemu ya kukamilisha sheria za uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 na 26 nchini kote. 
Uchaguzi huo utahusisha nafasi ya udiwani, ubunge na urais kwa vyama mbalimbali ambavyo vinalazimika kuwa wanyenyekevu mbele ya watanzania ili kutoa ridhaa ya kuwatawala baada ya kuwapigia kura katika nafasi hizo.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...