Mgombea urais kupitia Ukawa Edward Lowassa amekusanya umati wa watu mkoani Mwanza leo wakati wa kuomba wadhamini nafasi hiyo ikiwa sehemu ya kukamilisha sheria za uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 na 26 nchini kote.
Uchaguzi huo utahusisha nafasi ya
udiwani, ubunge na urais kwa vyama mbalimbali ambavyo vinalazimika kuwa
wanyenyekevu mbele ya watanzania ili kutoa ridhaa ya kuwatawala baada ya
kuwapigia kura katika nafasi hizo.


Post a Comment