Mh.
Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akisalimiana na Diwania
wa Kata ya Bwilingu Bw, Ahmed Masser wakati alipowasili katika eneo la
mkutano uliofanyika mji mdogo wa Chalinze jana ukiwa na lengo la
kuelezea utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM uliofanywa na Mbunge
huyo kwa kipindi cha mwaka mmoja katika huduma za Afya, Elimu, Maji,
Miundombinu, Uchumi, Michezo na amaendeleo mengine ya kijamii.
Mh.
Ridhiwania Kikwete ametanganza rasmi jana katika mkutano huo nia yake
ya kutetea jimbo la Chalinze ambapo leo mchana anatarajiwa kuchukua fomu
katika ofisi za CCM wilaya ya Bagamoyo tayari kwa kuanza mchakato wa
kuwania tena ubunge wa jimbo la Chalinze ili kuendeleza yale
aliyokwishayaanza kutekeleza katika kipidi cha mwaka mmoja alipokuwa
madarakani.
Mh.
Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akisalimiana na wananchi
mbalimbali wakati alipowasili katika eneo la mkutano mjini Chalinze.
Mh.
Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akizungumza jambo na
Katibu wake Bw. Idd Swala huku Diwani wa Kata ya Bwilingu Ahmed Nasser
akisikiliza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Bw.ndugu Majid
Mwanga.
Mh. Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akizungumza jambo na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Ndugu Majid Mwanga.
Diwani wa Kata ya Bwilingu Ahmed Nasser akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Chalinze jana.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Ndugu Majid Mwanga akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Chalinze jana.
Mh.
Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze akizungumza na wananchi
mjini Chalinze wakati alipotangaza nia yake ya kutetea tena ubunge wa
jimbo hilo.
Wananchi
wa Chalinze wakimsikiliza Ridhiwania Kikwete mbunge wa jimbo hilo
hayupo pichani wakati alipokuwa akitangaza nia yake ya kutetea tena kiti
cha ubunge wa jimbo la Chalinze.
No comments:
Post a Comment