
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed
Chande Othman na ujumbe wake pamoja na maafisa wa bunge wakiingia
Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini
Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015

Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi
na Mzee Benjamin William Mkapa na Mawaziri wakuu wastaafu Dkt Salim
Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde Warioba, Mhe. Frederick Sumaye na wakuu
wa vyombo vya ulinzi na usalama na maafisa waandamizi jeshini na
serikalini wakiwa wamesimama wakati viongozi wakiingia bungeni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiingia bungeni

Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge

Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni

Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge

Rais Kikwete akiingia bungeni

Rais Kikwete na Spika Makinda wakielekea kuchukua nafasi zao

Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia

Waheshimiwa wabunge

Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge

Rais Kikwete akianza kuhutubia wabunge

Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge

Rais Kikwete akihutubia

Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake


Waheshimiwa wabunge wakiwa wametulia kumsikiliza Rais Kikwete

Sehemu ya wageni mashuhuri wakifuatilia hotuba

Sehemu ya wabunge

Wake wa viongozi, watoto wa Rais Kikwete na maafisa mbalimbali

Sehemu ya Mabalozi

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wabunge wakifuatilia hotuba

Wapiga picha wakirekodi hotuba ya Rais Kikwete

Jaji Mkuu na ujumbe wake
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge 
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge

wabunge
Sehemu ya maafisa waandamizi wa vikosi vya ulinzi na usalama na wageni waalikwa
Rais wa Zanzibar Dkt. Shein, Makamu wa
Rais Dkt Bilali, Naibu Spika Mhe Ndugai na Mwenyekiti wa Bunge Mhe Mussa
Hassan Zungu wakifuatilia hotuba
Picha ya pamoja na marais wastaafu na viongozi wa juu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rais Kikwete akiongea na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Mkapa
Picha ya pamoja
Rais Kikwete akipongezwa na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi
Rais Kikwete akisindikizwa kutoka nje baada ya kuhutubia
Jaji Mkuu akitoka bungeni
Rais wa Zanzibar akitoka bungeni
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
Mmoja wa wabunge Mhe. Riziki Saidi Ruliga, akifuatilia hotuba kwa makini
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge 

إرسال تعليق