Pages

June 1, 2015

MBIO ZA URAIS 2015: TASWIRA YA MATUKIO YA MWIGULU NCHEMBA NAMNA ALIVYOTANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS MJINI DODOMA.

Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea kiti cha Urais kupitia chama cha CCM mkoani Dodoma jana.


Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akiwapungia mkono baadhi ya wafuasi wake waliojitokeza kwa wingi, kumsikiliza wakati akitamka kutangania nia ya kugombea kiti cha uraui kupitia CCM.


Baadhi ya wakazi wa Dodoma wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea kiti cha Urais kupitia chama cha CCM

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Dodom mapema jioni ya jana katika moja ya ukumbi wa chuo cha Mipango

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...