Pages

June 13, 2015

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU WENYE UALBINO YAFANA LEO JIJINI ARUSHA,RAIS KIKWETE AKEMEA IMANI POTOFU

Mkurugenzi Mkazi waUmoja wa Mataifa(UN)Alvaro Rodriguez akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya wenye Ualbino yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Mkurugenzi Mkazi waUmoja wa Mataifa(UN)Alvaro Rodriguez akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya wenye Ualbino yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Mkurugenzi Mkazi waUmoja wa Mataifa(UN)Alvaro Rodriguez akipongezwa na Rais Jakaya Kikwete baada ya kutoa hotuba yake  katika Maadhimisho ya Siku ya wenye Ualbino yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Balozi wa Canada hapa nchini,Alexandre Leveque akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya wenye Ualbino yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.

Mwenyekiti wa wenye ulemavu wa ngozi nchini(TAS)Ernest Kimaya akitoa nasaha zake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Jakaya Kikwete akihutubia wananchi waliohudhiria maadhimisho hayo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.Alitumia fursa hiyo kukemea mauaji yanayofanywa na dhidi ya Albino kwa imani za kishirikina.

Naibu Waziri wa Afya,Dk Kebwe Stiven Kebwa akitoa nasaha zake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Jakaya Kikwete akiwapongeza watoto wenye Ualbino wanaofadhiliwa na USAID chini ya mpango wa Pamoja Tuwalee.

Baadhi ya watu wenye ulemavu wakiwa kwenye maandamano leo.

Baadhi ya watu wenye ulemavu wakiwa kwenye maandamano leo.


Baadhi ya watu wenye ulemavu wakipita na mabango yenye ujumbe katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Arusha kwa  maandamano kwenye maadhimisho ya Siku yao ambayo inalenga kutoa elimu ya kupinga matendo maovu wanayofanyiwa na watu wenye nia mbaya.

Baadhi ya watu wenye ulemavu wakiwa kwenye maandamano leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Canada hapa nchini,Alexandre Leveque baada ya maadhimisho hayo,kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Umoja wa Mataifa(UN) hapa nchini,Alvaro Rodriguez na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...