Mkurugenzi
Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk. Mwele
Malecela pichani kabla ya kuingia katika chumba cha habari katika
Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani ya Kiwanda cha Tanga
Fresh ambaye ni mtoto wa Makamu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais
kupitia CCM. Dk. Mwale katika maisha yake mengi kwa zaidi ya miaka20
amekua mtumishu katika Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya
Binadamu (NIMR) ambako alianza kazi akiwa kijana na akapanda hadi kuwa
mtafiti mkuu na baadaye akateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu, licha ya
kukulia katika familia ya mwanasiasa.
Dk. Mwele Malecela akizungumza na wananchi kupitia kituo cha Mwambao Radio
Dk.
Mwale Malecela (kulia) akizungumza na wananchi kupitia kituo cha Mwambao
Radio kilichopo Tanga eneo la Kange ndani ya Kiwanda cha Tanga Freshi,
kushoto ni mtangazaji wa zam Jonas Msangi
Dk. Mwele Malecela katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa kituo cha Mwambao Radio.(PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLOG.
No comments:
Post a Comment