Pages

June 17, 2015

HALMASHAURI NCHINI ZATAKIWA KUBUNI VYANZO VYA NDANI VYA MAPATO

Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa(UN)Alvaro Rodriguez ambaye alikua mgeni rasmi katika Kongamano la upatikanaji wa fedha za ndani za maendeleo akitoa hotuba yake kwa washiriki  kutoka Halmashauri za wilaya nchini lililofanyika  jijini Arusha.

Mtaalamu Mshauri United Nations Capital Development Fund(UNCDF)Peter Malika akizungumza wakati Kongamano.

Mkurugenzi wa Huduma(Tamisemi)Denis Bandisa akizungumza wakati Kongamano ambalo pamoja na mambo mengine alizitaka halmashauri nchini kubuni vyanzo vya ndani vya mapato badala ya kutegemea wafadhili.

Mkurugenzi wa Huduma(Tamisemi)Denis Bandisa akizungumza wakati Kongamano ambalo pamoja na mambo mengine alizitaka halmashauri nchini kubuni vyanzo vya ndani vya mapato badala ya kutegemea wafadhili.

Washiriki kutoka maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi wakifatilia kwa makini mada katika Kongamano hilo.

Washiriki kutoka maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi wakiwa katika picha ya pamoja, Kongamano hilo limefanyika katika hoteli ya Mount Meru jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...