Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akitoa
neno kwa umati wa waombolezaji katika msiba wa Mufti mkuu Issa Shaban
Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga, baada ya
mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akisindikizwa
na Askofu Liberatus Sangu baada ya kumaliza mazishi ya marehemu Mufti
mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini
Shinyanga
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akisalimiana
na wananchi baada ya weka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu
Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya
Nguzo Nane mjini humo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akijadiliana
jambo na Askofu Liberatus Sangu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga
baada ya kumaliza mazishi ya marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba
nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto),
akijadiliana jambo na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye
walipiokutana baada ya kumaliza mazishi ya marehemu Mufti mkuu Issa
Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (kushoto), akimpa mkono wa pole Bw. Ahmad Simba
ambaye ni mdogo wa marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa
msiba nyumbani kwao katika Mtaa wa Majengo mjini Shinyanga
Mwaidha yakitolewa
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji mke wa aliyekuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Marehemu Shaaban
Issa Bin Simba, Bi Makaje Goso, wakati alipofika Hospitali ya Lugalo
jijini Dar es Salaam, leo Juni 16, 2015 kwa ajili ya kuifariji familia
hiyo kabla ya kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea nyumbani kwake Mkoa
wa Shinyanga kwa ajili ya maziko Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais,
Mama Zakia Bilal.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakia Bilal,
akimfariji mke wa aliyekuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Marehemu Shaaban
Issa Bin Simba, Bi Makaje Goso, wakati alipofika Hospitali ya Lugalo
jijini Dar es Salaam, leo Juni 16, 2015 kwa ajili ya kuifariji familia
hiyo kabla ya kusafirisha mwili wa marehemu kuelekea nyumbani kwake Mkoa
wa Shinyanga kwa ajili ya maziko yanayotarajia kufanyika leo jioni.
Kushoto ni Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mufti Mkuu wa
Tanzania, Marehemu Shaaban Issa Bin Simba, wakati alipofika kwenye Ofisi
za Bakwata, Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo Juni 16, 2015 kwa ajili
ya kuhudhuria Kisomo cha marehemu Simba.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakia Bilal,
akisaini katika Kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mufti Mkuu wa
Tanzania, Marehemu Shaaban Issa Bin Simba, wakati alipofika kwenye Ofisi
za Bakwata, Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo Juni 16, 2015 kwa ajili
ya kuhudhuria Kisomo cha marehemu Simba.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya
Ofisi za Bakwata, Kinondoni kwa ajili ya kuhudhuria Kisomo cha Marehemu
Simba, leo Juni 16, 2015. Katikati ni Rais Mstaafu wa awamu ya pili
Alhaj Ali Hassan Mwinyi
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki na baadhi ya Viongozi katika Kisomo cha kumuombea Marehemu
Mufti Shaaban Bin Simba, kilichofanyika leo Juni 16, 2015 kwenye Viwanja
vya Ofisi za Bakwata zilizopo inondoni, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wakati wa Kisomo cha
kumuombea marehemu Bin Simba, kilichofanyika leo Juni 16, 2015 kweye
Viwanja vya Ofisi za Bakwata Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki swala maalumu ya kuswalia Jeneza (halipo pichani) na baadhi
ya viongozi wa kitaifa wakati wa kisomo maalumu kilichofanyika leo Juni
16, 2015 kwenye Viwanja vya Ofisi za Bakwata zilizopo Kinondoni, jijini
Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuombea marehemu.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiweka
udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba
wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini humo
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akimpa pole Mjane wa Marehemu, Sheikh
Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, nyumbani kwake Majengo,
Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015. Mufti Simba alifariki dunia Juni 15,
2015 kwenye hospitali ya TMJ Mikocheni Jijini Dar es salaam.
Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mh. Fredrick Sumaye
Mh. Edward Lowassa akiongea na Mh. Fredrick Sumaye
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akimpa pole Mjane wa Marehemu, Sheikh
Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, nyumbani kwake Majengo,
Mkoani Shinyanga
No comments:
Post a Comment