![]() |
| Mtaalamu Mshauri United Nations Capital Development Fund(UNCDF)Peter Malika akizungumza wakati Kongamano. |
![]() |
| Mkurugenzi wa Huduma(Tamisemi)Denis Bandisa akizungumza wakati Kongamano ambalo pamoja na mambo mengine alizitaka halmashauri nchini kubuni vyanzo vya ndani vya mapato badala ya kutegemea wafadhili. |

| Washiriki kutoka maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi wakifatilia kwa makini mada katika Kongamano hilo. |
![]() |
| Washiriki kutoka maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi wakiwa katika picha ya pamoja, Kongamano hilo limefanyika katika hoteli ya Mount Meru jijini Arusha. |

Post a Comment