Mateka Ziad Abdel’al Abu Tarek akijichimbia kaburi lake kabla ya kuchinjwa na Kundi la ISIS.
VIDEO
iliyotolewa na Kundi la Wapiganaji wa ISIS hivi karibuni inamuoyesha
mateka anayedaiwa kuwa mpelelezi wa Syria akijichimbia kaburi lake kabla
ya kuchinjwa na wapiganaji wa kundi hilo.Mateka huyo anaonekana akichimba kaburi lake akiwa amevaa mavazi ya njano kabla ya kuchinjwa katika maeneo ya jangwani.
Mpiganaji wa ISIS akiwa tayari kumchinja mateka huyo.
Video
hiyo inamuonyesha mateka huyo akichukua sululu na koleo na kuanza
kuchimba kaburi lake na baadaye gari la ISIS linaonekana likiwasili eneo
hilo likiwa na bendera ya ISIS kisha anaonekana mpiganaji wa ISIS akiwa
nyuma ya mateka huyo aliyepiga magoti akisubiri kuchinjwa.
Kabla ya kuuawa mateka huyo alipewa fursa ya kutubu makosa yake.
Mateka huyo akielekea kuchukua sululu na koleo kwa ajili ya kuchimba kaburi lake.
Akiongea
kwa lugha ya Kiarabu, mateka huyo aliyejitambulisha kwa jina la Ziad
Abdel’al Abu Tarek anaseama kuwa anatokea Al-Qaryatayn, Mji uliopo
katikati mwa Syria, na anaeleza kuwa kazi yake ni upelelezi.
Mateka huyo akitubu kabla ya kuuawa.
Alihitimisha kwa kusema: "Nilimuua Abu Hassan, Islamic State wakaja na kunikamata."
No comments:
Post a Comment