Watoto watatu waliokuwa wakiishi mjini Kahama mkoani Shinyanga wamekutwa chini ya basi la Mgamba linalofanya safari zake za kusafirisha abiria kati ya Kahama na Arusha.
Tukio hilo lilitokea baada ya askari wa kikosi cha usalama barabarani Shinyanga kulifanyia upekuzi wa kawaida na kuwakuta watoto hao watatu waliokuwa wakisafiri kwa siri chini ya uvungu wa basi hilo ambapo tukio limewastua watu wengi.

إرسال تعليق