RED BRIGADE WA CHADEMA, WALA KIAPO MBELE YA MBOWE, MWANZA
Vijana
wa
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, almaarufu kama RED BRIGADE,
wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho,
Freeman
Mbowe, jijini Mwanza leo Jumamosi Februari 28, 2-015. Kiapo hicho
kinafuatia kkamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao,
ambapo nchi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba
mwaka huu 2015
Vijana hao wakila kiapo mbele ya Mbowe
Mkurugenzi wa Ulinzi
na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), kiasoma taarifa ya mafunzo ya
vijana wa chama hicho 'Red Brigedi' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho,
Freeman Mbowe (kushoto) akisikiliza kwa makini.
Vijana hao wakitoa heshima mbele ya Mwenyekiti wao Mbowe.
No comments:
Post a Comment