Jeneza
lenye mwili wa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi na Mjumbe
wa Halmashauri kuu ya CCM,Marehemu Kapteni John Komba likiwa kwenye
viwanja vya Karimjee,jijini Dar es salaam,wakati wa shughuli ya
kuaga.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI NA EMMANUEL MASSAKA.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam .Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Litui wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma.
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal na wake zake Mama Asha na Mama Zakhia wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam .
Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassa Mwinyi akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa
jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa
jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa
jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akiifariji familia ya marehemu.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania,Luteni Kanali Samuel Ndomba akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa
jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. Jenista
Mhagama akitoa heshima za mwisho akifuatana na Naibu IGP,Abdulrahman
Kaniki.
Kingunge Ngombale–Mwiru akitoa heshima za mwisho.
Kamanda Kova.
Baadhi wa Waheshimiwa Wabunge wakiifariji familia ya Marehemu.
Mhe. Ole Sendeka akibubujikwa na machozi kuondokewa na Mbunge mwenzake.
Familia ya Marehemu.
Watoto wa Marehemu Kapteni John Komba wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu baba yao.
Mjane wa Marehemu,Kapteni John Komba,Mama Salome Komba akiaga mwili wa mumewe
Khadija Kopa.
Umati
wa viongozi mbali mbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye viwanja vya
Karimjee,jijini Dar es salaam wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa
marehemu Kapteni John Komba.
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. Jenista
Mhagama akitoa salamu za Serikali wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa
marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika
viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam .
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii,Mh. Saidi Mtanda akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Kamati yake.
Mbunge
wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari akitoa salamu za rambi
rambi kwa niaba ya kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Mh. Joshua Nassari.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akitoa salamu za Chama.
Mh. Muhongo akitoka kuaga mwili wa Kapteni Komba.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akisungumza jambo na Katibu
Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana.kushoto ni Spika wa Bunge,Mh. Anne
Makinda.
Mama Regina Lowassa akizungumza jambo na Mama Asina Kawawa.
Mh. Mkapa akizungumza jambo na Mh. Anne Makinda.
MC wa shughuli hiyo Bw. Saidi Yakub wa Bunge akiwa kazini
Mjane wa Marehemu.
No comments:
Post a Comment