Wanariadha wakianza kutimua mbio za Kili Marathon kilometa 42 zilizoanzia na kumalizika kwenye uwanja wa Chuo cha ushirika Moshi |
Wanariadha wakianza kutimua mbio za Tigo Kili Half Marathon kilometa 21 zilizoanzia na kumalizika kwenye uwanja wa Chuo cha ushirika Moshi |
Meneja wa Kampuni ya Simu za mikononi ya Tigo,Cecile (wa pili kulia)Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini,David Charles wakipata picha na wadau walioshiriki mbio hizo. |
Wanariadha kutoka mataifa mbalimbali wakiwa tayari kukimbiza upepo |
Ni mbio tu mchuano mkali kuelekea barabara ya Ushirika wa Neema |
Mtanzania Fabiola William aliyeibuka mshindi wa kwanza Kili Marathon wanawake akimaliza mbio zake na kujinyakulia kitita cha Sh milioni 4 |
No comments:
Post a Comment