![]() |
| Wanariadha wakianza kutimua mbio za Kili Marathon kilometa 42 zilizoanzia na kumalizika kwenye uwanja wa Chuo cha ushirika Moshi |
![]() |
| Wanariadha wakianza kutimua mbio za Tigo Kili Half Marathon kilometa 21 zilizoanzia na kumalizika kwenye uwanja wa Chuo cha ushirika Moshi |
![]() |
| Meneja wa Kampuni ya Simu za mikononi ya Tigo,Cecile (wa pili kulia)Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini,David Charles wakipata picha na wadau walioshiriki mbio hizo. |
![]() |
| Wanariadha kutoka mataifa mbalimbali wakiwa tayari kukimbiza upepo |
![]() |
| Ni mbio tu mchuano mkali kuelekea barabara ya Ushirika wa Neema |
![]() |
| Mtanzania Fabiola William aliyeibuka mshindi wa kwanza Kili Marathon wanawake akimaliza mbio zake na kujinyakulia kitita cha Sh milioni 4 |








Post a Comment