![]() |
| Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Massangwa akipongezwa na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya ibada ya kumsimika kuongoza dayosisi hiyo. |
![]() |
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisaliana na waumini waliohudhuria ibada maalumu.
|
![]() |
| Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(kulia)akiwa na Mbunge wa Arumeru Magharibi,Godluck Ole Medeye wakisalimiana na wananchi na waumini waliohudhuria ibada maalumu.Picha na Filbert Rweyemamu |
![]() |
| Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akijibu maswali ya waandishi wa habari . |
![]() |
| Kwaya ya Usharika wa KKKT Kimandolu ikihudumu |








إرسال تعليق