Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Massangwa akipongezwa na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya ibada ya kumsimika kuongoza dayosisi hiyo. |
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisaliana na waumini waliohudhuria ibada maalumu.
|
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(kulia)akiwa na Mbunge wa Arumeru Magharibi,Godluck Ole Medeye wakisalimiana na wananchi na waumini waliohudhuria ibada maalumu.Picha na Filbert Rweyemamu |
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akijibu maswali ya waandishi wa habari . |
Kwaya ya Usharika wa KKKT Kimandolu ikihudumu |
No comments:
Post a Comment