Pages

January 10, 2015

MAN UNITED WAKIWA MAZOEZINI , KAZI NDO KWANZA WAJIPANGA UPYA









 KIPA MPYA WA MAN UNITED, VICTOR VALDES ALIYEINGIA MKATABA WA MIEZI 18 AMEANZA KAZI RAMI NA TIMU YAKE HIYO MPYA BAADA YA KUWA AMETAMBA NA BARCELONA KWA KIPINDI KIREFU. PAMOJA NA VALDEZ, KIUNGO DALEY BLIND NAYE AMEREJEA MAZOEZINI NA KUUNGANA NA WENZAKE BAADA YA KUWA MAJERUHI KWA ZAIDI YA WIKI MOJA.


No comments:

Post a Comment