Tangu
kumekuwa na mtandao wa Instagram, nimegundua kwamba mtandao huo umekuwa
na nguvu zaidi kuipita mitandao mingine ya kijamii ambayo ilitangulia
kuwepo kama Facebook na Twitter, tunayaona mengi Instagram, ndiko ambako
tuliona pia ile ishu ya kuvuja kwa Selfie ya Malia Obama akiwa amevaa
Tshirt ya Kundi la washkaji wanaofanya Hiphop Marekani, Pro Era.
Bado hali
si shwari, washkaji wa Kundi hilo walipost picha ya Malia akiwa amevaa
Tshirt hiyo kwenye ukurasa wao Instagram, halafu wakaandika ujumbe wa
kufanya promo ili watu wakanunue Tshirt zao; “Malia Obama rocking that
classic Pro Era tee! | Make sure you get your official Pro Era gear from
theproera.com!“–
No comments:
Post a Comment