WAZIRI AZINDUA KIWANDA CHA MBEGU CHA SEED CO ARUSHA,MIUNDOMBINU YAGHARIMU DOLA 13 MILIONI

Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfery Zambi akipewa zawadi ya Maua baada ya kuwasili kwenye kiwanda cha kampuni ya Mbegu ya Seed Co Tanzania,eneo la Kisongo mkoa wa Arusha.

Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfery Zambi(kushoto) akiteta na Mwenyekiti wa kampuni ya Mbegu ya Seed Co Afrika Mashariki,Shongwe Ndorro.

Meneja Masoko wa kampuni ya mbegu ya Seed Co Tanzania,Frank Wenga(wa pili kulia)akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfery Zambi wakati akikagua kiwanda hicho.

Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfery Zambi akisalimiana na Mawakala wa Mbegu kutoka maeneo mbalimbali nchini lengo likiwa kuhamasisha kilimo chenye tija.

Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika,Godfery Zambi akikata utepe kuzindua kiwanda cha  kampuni ya Mbegu ya Seed Co  Tanzania chenye uwezo wa kuzalisha mahindi bora na Mtama tani 5,000 kwa msimu

Wadau wa sekta ya kilimo wakiwa ndani ya kiwanda cha Mbegu cha Seed baada ya uzinduzi wake eneo la Kisongo,mkoa wa Arusha.

Vijana wakitoa burudani kuwatumbuiza wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi wa kiwanda hicho.

Baadhi ya wafanyakazi wakipata picha ya pamoja

Post a Comment

أحدث أقدم