Hatimaye
ligi ya mabingwa wa ulaya imeanza tena kwa michezo kadhaa kupigwa usiku
wa leo huku mabingwa wa watetezi Real Madrid wakianza kuutetea ubingwa
wao kwenye mchezo dhidi ya FC Basle.
Mchezo
huo uliopigwa kwenye dimba la Santiago Bernabeu umeisha kwa matokeo ya
ushindi mzito kwa Real Madrid walioibamiza Basle 5-1.
Suchy
alianza kujifunga goli kwenye dakika ya 14 na kuipa uongozi Madrid,
kabla ya Gareth Bale kufungua ukurasa wake wa magoli kwenye UCL kwa
kufunga goli la dakika ya 30, Cristiano Ronaldo akaongeza lingine dakika
ya 31, James Rodriguez akafunga goli la 4 dakika ya 36, na Karim
Benzema akashindilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la FC Basle dakika
ya 79.
Timu zilipangwa hivi:
Real Madrid: Casillas, Pepe, Sergio Ramos, Marcelo, Nacho, Kroos, Rodriguez, Bale, Modric, Ronaldo, Benzema.
Subs: Navas, Varane, Fabio Coentrao, Hernandez, Arbeloa, Isco, Illarramendi.
Goals: Suchy OG 14, Bale 30, Ronaldo 31, Rodriguez 36, Benzema 79

Basle: Vaclik, Samuel, Schar, Suchy, Safari, Zuffi, Frei, El-Nenny, Xhaka, Streller, Gonzalez.
Subs: Vailati, Delgado, Gashi, Kakitani, Aliji, Embolo, Calla.
Goal: Gonzalez 37
Referee: Damir Skomina (Slovenia)
Subs: Vailati, Delgado, Gashi, Kakitani, Aliji, Embolo, Calla.
Goal: Gonzalez 37
Referee: Damir Skomina (Slovenia)
No comments:
Post a Comment