Baadhi ya wajumbe wa Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha wakifuatilia maazimio yaliyokuwa yakisomwa mbele ya wanahabari jana mjini hapa ambapo Baraza hili liliazimia kwamba endao Katibu wa Mkoa Mary Chatanda atabainika kuwa na ubadhilifu basi asihamishwe mkoa mwingine na apelekwe mahakamani ili iwe fundisho
No comments:
Post a Comment