Pages

August 21, 2014

MKUTANO WA APECSA ARUSHA


IMG_1244
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Serikali ya Muungano Dr.Seif Rashid (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo,alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro Mkoani Arusha jana. 
IMG_1375
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Jumuiya ya Afika ya mashariki Mjini Arusha jana.
IMG_1390 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Jumuiya ya Afika ya mashariki Mjini Arusha jana.[Picha na Ramadhan Othman Arusha.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...