Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla
aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau mbalimbali
wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao waliokatika mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhan. Hafla hiyo ilifanyika ndani ya Great Wall
Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam.
Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini maneno yaliyokuwa yakitolewa na Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere.
Wasanii wakipata maakuli...
Wolper na Kajala wakila chakula wakati wa hafla hiyo.…
Mazungumzo ya hapa na pale hayakukosa...
Kila mmoja aliona ni wakati mwafaka kuongea na mwenzake aliyepotezana nae miaka kadhaa.
Ilikuwa ni furaha maana wasanii wengine kuonana huwa ni mara chache chache.
Jini Kabula, Mariam Mndeme na Isabela Mpanda wakijumuika katika hafla hiyo.
Meza ya waheshimiwa...
Ester akiwa na rafiki yake Zilpa.
Jose Mara nae hakuwa nyuma...
Samaki aina ya Kaa.
Chaz Baba akipakua chakula.
Zungu wa GPL akiwa na Mkurugenzi wa Kajunason blog, Cathbert Angelo pamoja na msanii Rich.
Msanii Nguri wa Muziki wa Bongo Fleva, Profesa J akipata chakula....
Msanii Haji akimsurubisha samaki aina ya Kaa.
Mshereheshaji wa hafla hiyo akieleza machache.
Msanii JB akiwasisitiza wenzake suala la upendo miongoni mwao.
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla
aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau mbalimbali
wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao waliokatika mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhan. Hafla hiyo ilifanyika ndani ya Great Wall
Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam.
No comments:
Post a Comment