Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano mwa Tanzania Mhe. Dkt Moahammed Gharib
Bilal, Rais wa Burundi Mhe. P. Nkurunziza wakipokea maandamano ya
maadhimisho ya Miaka 52 wa Uhuru wa Nchi hiyo yaliyofanyika Julai
1-2014 katika uwanja wa Prince Louis Rwegasore jijini Bujumbura
Burundi.
Rais
wa Burundi Mhe. P. Nkurunziza akikagua gwaride rasmi kwa ajili ya
maadhimisho ya Miaka 52 wa Uhuru wa Nchi hiyo yaliyofanyika Julai
1-2014 katika uwanja wa Prince Louis Rwegasore jijini Bujumbura Burundi.
Vijana wa halaiki wakitumbuiza kwenye
maadhimisho ya Miaka 52 wa Uhuru wa Nchi hiyo yaliyofanyika Julai
1-2014 katika uwanja wa Prince Louis Rwegasore jijini Bujumbura
Ujumbe
wa Tanzania uliofuatana na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal
kwenye maadhimisho ya Miaka 52 wa Uhuru wa Nchi hiyo yaliyofanyika
Julai 1-2014 katika uwanja wa Prince Louis Rwegasore jijini Bujumbura
Burundi. (Picha na OMR)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe.Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimpongeza Rais wa Burundi Mhe. P. Nkurunziza kwenye Uwanja wa
Prince Louis Rwegasore jijini Bujumbura Burundi wakati wa maadhimisho
ya Miaka 52 wa Uhuru wa Nchi hiyo yaliyofanyikajana.
No comments:
Post a Comment