Pages

July 2, 2014

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUBWA WA CHAMA CHA WABUNGE KUTOKA NCHI ZA MADOLA(CPA) YAENDELEA JIJINI ARUSHA

Katibu wa Bunge,Dk Thomas Kashililah(kulia) akiongozana na Wabunge ambao ni Wajumbe wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA) na watumishi wa Bunge wakiwa kwenye Ngurdoto Mountain Lodge, mkoani Arusha kwaajili ya maandalizi ya mkutano mkubwa wa 45 utakaofanyika mwezi huu.

Katibu wa Bunge,Dk Thomas Kashililah(kulia) akishauliana na jambo na maafisa wa Ngurdoto Mountain Lodge mkoani Arusha wakati wa ziara ya Wabunge ambao ni Wajumbe wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA) na watumishi wa Bunge  kwaajili ya maandalizi ya mkutano mkubwa wa 45 wa CPA utakaofanyika mwezi huu.

Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania,Mussa Zungu(aliyevaa Kofia) akiwa na wajumbe wenzake na watumishi wa wabunge katika ziara ya kutathmini maandalizi ya mkutano mkubwa wa 45 wa CPA utakaofanyika mwezi huu mkoani Arusha.

Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA)tawi la Tanzania,Mussa Zungu(kulia) akiwa na Maafisa wa Bunge katika ziara mkoani Arusha ya kutathmini maandalizi ya mkutano mkubwa wa 45 wa CPA utakaofanyika mwezi huu mkoani Arusha,kutoka kushoto ni Afisa Mawasiliano wa Bunge,Mkuu wa Itifaki wa Bunge,Demetrius Mgalami,Mratibu wa CPA nchini,Saidi Yakubu.

Mkuu wa Idara ya Idara ya Mawasiliano na Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa,Jossey Mwakasyuka(kushoto)akijadili jambo na Afisa wa Bunge,Aziza Makwayi .

Katibu wa Bunge,Dk Thomas Kashililah(kulia) Mkuu wa Idara ya Idara ya Mawasiliano na Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa,Jossey Mwakasyuka(kati) na Afisa wa Bunge,Aziza Makwayi


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...