|
Kamishna
wa Polisi Jamii nchini ,CP Musa Ali Musa akitia saini katika kitabu cha wageni
wakati wa ziara yake wilayani Mwanga. |
|
Baadhi
ya askari Polisi wa kada mbalimbali pamoja na viongozi kijiji cha Kisiwani
wakimsikiliza kamishna wa Polisi jamii,Musa Ali Musa alipofanya ziara wilayani
Mwanga. |
|
Kamishna
wa Polisi Jamii,Musa Ali Musa akiwa ameambatana na kamanda wa Polisi mkoa wa
Kilimanjaro SACP ,Robert Boaz wakitembelea maeneo mbalimbali ikiwa ni pamoja na
kukagua ujenzi wa kituo kipya cha
polisi. |
|
Kamanada
wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP Robert Boaz akizungumza na maofisa wa Polisi
wa kada mbalimbali katika wilaya ya Mwanga (hawako pichani)kabla ya kumkaribisha
kamishna wa Polisi jamii nchini ,CP ,Musa Ali
Musa. |
|
Kamishna
wa Polisi jamii Nchini,Musa Ali Musa akizungumza na maofisa wa Polisi wa kada
mbalimbali katika wilaya ya Mwanga (hawako
pichani) |
|
Kamishna
wa Polisi nchini Musa Ali Musa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa
wa jeshi hilo pamoja na baadhi ya wananchi katika wilaya ya
Mwanga. |
|
Kamishana
atembelea kituo kikuu cha Polisi wilaya ya
Mwanga. |
|
Kamishna
wa Polisi Jamii nchini ,Musa Ali Musa akipokewa na gwaride maalumu
lililoandaliwa na askari Polisi kituo cha
Mwanga. |
|
Kamishna
wa Polisi Jamii nchini ,Musa Ali Musa akitizama eneo ambalo linatazamiwa
kujengwa kituo kipya cha Polisi. |
|
Kamishna
Musa akiondoka eneo hilo mara baada ya kuhitimisha ziara yake katika wilaya ya
Mwanga. |
Na Dixon Busagaga wa
globu ya jamii kanda ya kaskazini
No comments:
Post a Comment