Sasa saa 8.15mchana.Kuna tukio hapa Tmj hospital. Majambazi
wakikimbia kwa miguu wakitokea kwa Nyerere wamelishambulia basi la
magereza lilobeba wafungwa na escort ya polisi kwa risasi kadhaa. Askari
magereza na polisi wamejeruhiwa na majambazi yametokomea
kusikojulikana. Mahabusu wanashangilia hapa na shughuli zote zimesimama
hapa
No comments:
Post a Comment