Makamu
Mwenyekiti wa CCM Ndugu Philip Mangula akimkabidhi zawadi Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao mara baada ya kumaliza
mkutano .
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akionyesha zawadi
aliyopewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula mara
baada ya kumaliza mkutano baina ya viongozi wawili.
Viongozi
wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu
Philip Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li
Yuanchao(hayupo pichani) kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.
Viongozi
wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu
Philip Mangula na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li
Yuanchao(hayupo pichani) kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa China Nchini Tanzania Lu Youqing akifafanua jambo wakati wa Semina
ya Ujamaa iliyohusisha CCM na CPC kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es
Salaam.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akizungumza wakati wa
Semina inayohusu Umuhimu wa Ujamaa na Kukua kwa Uchumi,wengine
pichani(kushoto) ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Abdala Bulembo
,Mwakamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Mboni Mhita ,Katibu Mkuu wa
Umoja wa Vijana CCM Ndugu Sixtus Mapunda ,Profesa Max Muya ,na Makwaia
wa Kuhenga.
Mr
Ma Zhongji kutoka Ubalozi wa China akisaidia kutafsiri wakati wa Semina
ya Ujamaa iliyohusisha CCM na CPC iliyofanyika kwenye Hotel ya Serena
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Maafisa kutoka CCM Makao Makuu wakifuatilia kwa makini Semina
inayohusu Umuhimu wa Ujamaa katika Kukua kwa Uchumi iliyofanyika katika
ukumbi wa Kivukoni,Serena Hotel Dar es Salam.
Mheshimiwa
Kingunge Ngombale Mwiru akizungumza na Waandishi wa Habari nje ya Hotel
ya Serena jijini Dar Es Salaam na kuwaeleza kuwa Watu wanajenga Ujamaa
wenyewe haujengwi na Viongozi peke yao.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akizungumza na Waandishi
wa Habari mara baada ya kukamilika kwa Semina inayohusu Ujamaa
iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ambapo Mangula
liwaeleza waandishi hao kuwa Ujamaa unatakiwa Ueleweke,Utekelezwe na
Uendelezwe,Semina hiyo iliwahusisha vyama vya CCM na CPC kutoka China.









Post a Comment