Mwonekano wa nyumba zilizojengwa kwa kufuata utamaduni wa Urabuni ambao ni kivutio kikubwa kwa wageni wanaotembelea visiwa vya Zanzibar. |
Angalia mjengo huu katika Makumbusho ya Amani barabara ya Mnazimmoja. |
Usafiri wenye bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)ukisubiri watalii kuwapeleka Visiwa vidogo vilivyomo ndani ya Bahari ya Hindi . |
Mjengo kama huo utaukuta Zenji tuu. |
Kanisa la kwanza kujengwa Afrika Mashariki ni la Anglikana St Monica. |
Mtalii akichukua taswira zinazoonesha Soko la utumwa Zanzibar miaka mingi iliyopita. |
Viunga vya Zenji kama vinavyoonekana |
Mjengo wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. |
No comments:
Post a Comment