![]() |
| Mwonekano wa nyumba zilizojengwa kwa kufuata utamaduni wa Urabuni ambao ni kivutio kikubwa kwa wageni wanaotembelea visiwa vya Zanzibar. |
![]() |
| Angalia mjengo huu katika Makumbusho ya Amani barabara ya Mnazimmoja. |
![]() |
| Usafiri wenye bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)ukisubiri watalii kuwapeleka Visiwa vidogo vilivyomo ndani ya Bahari ya Hindi . |
![]() |
| Mjengo kama huo utaukuta Zenji tuu. |
![]() |
| Kanisa la kwanza kujengwa Afrika Mashariki ni la Anglikana St Monica. |
![]() |
| Mtalii akichukua taswira zinazoonesha Soko la utumwa Zanzibar miaka mingi iliyopita. |
![]() |
| Viunga vya Zenji kama vinavyoonekana |
![]() |
| Mjengo wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. |









إرسال تعليق