Makamu wa Kwanza wa Rais wa Burundi,Mh.Bernard Busokoza(kushoto) akifungua mkutano wa siku tatu wa Amani na Usalama unaofanyika jijini Bujumbura,Burundi ulioandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)kulia ni Waziri wa nchi wa Burundi anaehusika na Wizara ya frika Mashariki
Waziri wa Mambo ya Ndani,Dk Emmanuel Nchimbi akifatilia mada kwenye mkutano huo.
Mwandishi Mkongwe kutoka Tanzania,Jenerali Ulimwengu akifatilia kwa makini.
Viongozi mbalimbali wa dini na asasi za kiraia wakishiriki kikamilifu mkutano huo ambao unaweka msisitizo wa kuzungumza tofauti badala ya vita.
Viongozi wa dini kutoka nchi za Afrika Mashariki
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania,Makongoro Nyerere akiwa ni miongoni mwa wadau wa amani kwenye mkutano huo.
Waziri wa Mambo ya Ndani,Dk Emmanuel Nchimbi akifatilia mada kwenye mkutano huo.
Mwandishi Mkongwe kutoka Tanzania,Jenerali Ulimwengu akifatilia kwa makini.
Viongozi mbalimbali wa dini na asasi za kiraia wakishiriki kikamilifu mkutano huo ambao unaweka msisitizo wa kuzungumza tofauti badala ya vita.
Viongozi wa dini kutoka nchi za Afrika Mashariki
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa EAC anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa,Charles Njoroge akizungumza jambo na Waziri wa Nchi wa Uganda anayeshughulikia Maji,Betty Bigombe |
![]() |
| Mbunge kutoka Uganda katika Bunge la Afrika Mashariki(EALA)Mike Sebaru na Afisa wa Shirika la Maendeleo ya Ujerumani(GIZ) |

إرسال تعليق