MBUNGE WA KASULU MJINI ALAZWA HOSPITALINI BAABA YA KUVAMIWA NA VIJANA DODOMA
Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR), Moses Machali akiwa amelazwa kwenye wodi maalumu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na vibaka jana usiku eneo la Area E mjini humo na kumjeruhi.
No comments:
Post a Comment