![]() |
| Mkuu wa Mafunzo kwa vyombo vya habari katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Sukhdev Chatbar akizungumza neno la ufunguzi |
![]() |
| Meneja Biashara wa Hoteli ya Kibo Palace,Charity Githinji akizungumza |
![]() |
| Meneja wa Huduma Utalii Mwandamizi wa Ngorongoro(NCAA)Asantael Melita akiwasilisha mada iliyowavutia sana waandishi |
![]() |
| Ngorongoro kama kawaida walitoa zawadi kwa waandishi ambazo zitakua alama ya kudumu na kuutangaza utalii katika nchi zao |
![]() |
| Wakifatilia mada kutoka kwa wadau |
![]() |
| Afisa Mtendaji wa Blog hii,Filbert Rweyemamu hakujivunga kupata chakula bora kutoka Kibo Palace Hoteli |
![]() |
| Kutoka kushoto,Peter Saramba(Mwananchi)Salim Said Salim(Mkongwe)na Nasima Haji(Habari Leo -Zanzibar)wakipata chakula |
![]() |
| Mwandishi wa DW kutoka Rwanda,Serivanus Karemela akijichotea |
![]() |
| Afisa Uhusiano wa Sekta binafsi ya Tanzania,Rehema Mtingwa akifurahia jambo na Mwandishi wa Moses Warugembe kutoka Uganda.Picha zote na Filbert Rweyemamu |










إرسال تعليق