Pages

June 20, 2013

BREAKING NEWS !! KUTOKA BUNGENI TUKIO LA ARUSHA LILIPANGWA, MHE NCHEMBA.


 
MH.MWIGULU  NCHEMBA  MUDA HUU AMEMALIZA  KUSEMA  KAULI NZITO BUNGENI ''TUKIO LA ARUSHA LILIPANGWA NA VIONGOZI WA CHADEMA.
''INASHANGAZA KUONA  KIONGOZI  WAKATI  MAITI  ZIMEZAGAA  CHINI  NA DAMU KUTAPAKAA  YEYE  KASIMAMA  PALEPALE  NA  AMESH
IKA BOX  LA  PESA HILI  NI  JAMBO  LA  KUPANGA  WANANCHI  WAELEWE INAWEZEKANAJE  MTU  ACHUKUE  VIDEO  BILA  HATA  KUSHTUKA  WAKATI  BOMU  LINALIPUKA.
''ETI  YEYE ANAENDELEA  KUCHUKUA  TU  VIDEO  KAMA  ANAREKODI  SEND OFF AU HARUSI'' HIYO  NI  KAULI YA  YA  MH.MWIGULU  NCHEMBA,,,,WAKATI  HAYA  YOTE YAKIENDELEA  KUTAMKWA  TUKUMBUKE  KUWA  KUNA  WATU  WANALIA  KWA KUPOTEZA  NDUGU  ZAO.

CHANZO  http://niaje.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...