Pages

June 23, 2013

ANGALIA PICHA 10 ZA UCHAGUZI WA ARUSHA PRESS CLUB(APC)CLAUD GWANDU APITA BILA KUPINGWA

Mwenyekiti wa Arusha Press Club(APC)akitangaza kujiuzuru kwa kamati yake baada ya kumaliza muda wa miaka mitatu,wengine ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa APC,Eliya Mbonea(kushoto) na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti,Charles Ngereza

Wajumbe wakifatilia kwa makini mkutano wa uchaguzi huo

Umakini na kuweka kumbukumbu kwa waandishi wa habari ni jambo lililopewa umuhimu wakati wa uchaguzi,kutoka kushoto ni Abraham Gwandu,Kiko,Bertha Ismail,Asraji Mvungi,Veronica Mheta na Mustafa Leu wa Radio Uhuru

Kutoka kushoto ni Cynthia Mwilolezi(Nipashe)Janeth Mushi(Jambo Leo)na Jane Edward (Majira)

Mkongwe wa Habari Leo jijini Arusha,John Mhala na  Mwandishi hodari wa  gazeti la Uhuru,Lilian Joel wakifatilia mkutano

Claud Gwandu akiomba wanachama wenzake wamchague tena kuongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitatu katika nafasi ua Mwenyekiti ambayo aliibuka mshindi 

Mwandishi wa Nipashe na Radio One,Charles Ole Ngereza akiomba kura katika nafasi ya Makamu mwenyekiti 
Mgombea nafasi ya Mwekahazina,Pamela Mollel(Majira)akiomba kura kwa mbwembwe nyingi

Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi ambaye ni mjumbe wa Bodi ya UTPC na Mwenyekiti wa Mwanza Press Club,Deus Bugaywa akikusanya kura


Baada ya uchaguzi kutoka kushoto ni Mwekahazina,Pamela Mollel,Janet Mushi(mjumbe)na Katibu Mkuu,Semmy Kiondo.Picha zote na www.rweyemamuinfo.blogspot.com


WAGOMBEA NA KURA ZAO KWENYE MABANO
MWENYEKITI;

Claud Gwandu(34)
Hapana (0)


MAKAMU MWENYEKITI
Charles Ole Ngereza (20)
Beatrice Gerard(16)

KATIBU MKUU
Semmy Kiondo(32)
Hapana (3)
Iliharibika (1)

KATIBU MSAIDIZI
Mustapha Leu(21)
Mosses Kilyinga(14)

MWAKAHAZINA
Pamela Mollel(26)
Veronica Mheta(9)

NAFASI ZA UJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJIJaneth Mushi(24)
David Frank(21)
Queen Lema(13)
John Nguge(9)
Daniel Sabuni(5)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...